UNAJUA UMUHIMU WA KUPANDA MITI YA MATUNDA?

UNAJUA UMUHIMU WA KUPANDA MITI YA MATUNDA KWA KUWASHIRIKISHA WATOTO WAKIWA NA UMRI WA MIAKA MITANO (5)!?
=========
 Watoto waishio mitaani wajikita ktk kuongoza mapambano ya kutoa Elimu ya Mabadiliko ya Tabia nchi, kwa Kuhamasisha kushirikisha watoto ktk utunzaji wa mazingira kwa  Upandaji wa miti ya Matunda.

Wakiunga Mkono kwa vitendo juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
@samia_suluhu_hassan 
Ambaye ni Malkia wa Mazingira Duniani. 

#DR;SAMIA MALKIAwaMazingira

#MAZINGIRA-NI-UHAI-TUYATUNZE-TUISHI

Post a Comment

0 Comments