Je! Wajua nini kuhusu Hewa Taka!??
Hewa taka ni kitu gani!???
Serikali inaendelea kujali na kuthamini jamii, kwa kuboresha Mazingira ya Upatikanaji wa NISHATI SAFI KWA MATUMIZI YA JIKONI MPAKA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI
Watoto waishio mitaani wakiendelea kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Hapa wakichambua madhara ya Hewa taka,
Kujilinda na athari za mabadiliko ya tabia Nchi.
#MAZINGIRANIUHAI
#dktsamiasuluhuhassanMalkiawamazingira
#Malkiawamazingira

0 Comments