NISHATI SAFI.



Kila kona ya Nchi sasa yang'ara, Makundi Mbalimbali ya wananchi yampongeza Dkt Samia Suluhu Hassan. Kwa kupunguza ongezeko la ukatili na Vifo kwa kushusha bei ya  NISHATI SAFI YA KUPIKIA 

Hizi ni sauti za watoto waishio mitaani nchini Tanzania🇹🇿

Wakitoa elimu ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia, ili kutokomeza ongezeko la ukatili wa Mazingira.

  #MAZINGIRANIUHAI 🌱🌱
#DR-SAMIA-MALKIAwaMazingira

Post a Comment

0 Comments