HII NI SURA YA PILI YA ILANI YA CHAMA CHETU PENDWA, KARIBU KUSIKILIZA NA KUJIFUNZA.

 Tunaendelea na mtiririko wa kurahisisha kusoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa njia bunifu na rahisi ya kusikiliza na kuona. (Audio & Video) Hii ni sura ya pili ya Ilani ya Chama chetu pendwa, karibu kusikiliza na kujifunza mipango madhubuti ya chama katika kusimamia serikali yetu kwa kipindi cha miaka mitano 5 yaani 2025 - 2030

Post a Comment

0 Comments