UNAJUA ATHARI ZA KUTUPA TAKA MITARONI? ACHA KUTUPA TAKA MITARONI. ========= Watoto waishio mitaani wajikita ktk kuongoza mapambano ya kutoa Elimu ya Mabadiliko ya Tabia nchi, kwa Kutoa Elimu ya Madhara ya Kutupa Takataka Mitaroni na Sehemu zisizo Rasmi. Wakiunga Mkono kwa vitendo juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. @samia_suluhu_hassan Ambaye ni Malkia wa Mazingira Duniani.
0 Comments