Tunaendelea na mtiririko wa kurahisisha kusoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa njia bunifu na rahisi ya kusikiliza na kuona. (Audio & Video)
Hii ni sura ya tatu (3) ya Ilani ya Chama chetu pendwa, karibu kusikiliza na kujifunza mipango madhubuti ya chama katika kusimamia serikali yetu kwa kipindi cha miaka mitano 5 yaani 2025 - 2030
0 Comments