Tuendelee na mtiririko wa kurahisisha kusoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa njia bunifu na rahisi ya kusikiliza na kuona. (Audio & Video)
Hii ni sura ya nne (4) ya Ilani ya Chama chetu pendwa, karibu ujifunze na kujua dhamira ya uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa Taifa letu. Ijue Ilani hii ya Chama kwa kusikiliza na kujifunza mipango madhubuti ya chama katika kusimamia serikali yetu kwa kipindi cha miaka mitano 5 yaani 2025 - 2030
0 Comments