HII NI SURA YA TANO (5) YA ILANI YA CHAMA CHETU PENDWA, KARIBU KUSIKILIZA NA KUJIFUNZA.

 

Tuendelee na mtiririko wa kurahisisha kusoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa njia bunifu na rahisi ya kusikiliza na kuona. (Audio & Video) Hii ni sura ya tano (5) ya Ilani ya Chama chetu pendwa. Ilani ya chama chetu inasura tano (5), hii ndio sura ya tano na ya mwisho. Karibu ujifunze na kujua dhamira ya uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa Taifa letu. Ijue Ilani hii ya Chama kwa kusikiliza na kujifunza mipango madhubuti ya chama katika kusimamia serikali yetu kwa kipindi cha miaka mitano 5 yaani 2025 - 2030

Post a Comment

0 Comments