Hii ni utangulizi wa Yaliyomo ndani ya kitabu cha Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Itakayosimamia utekelezaji wa Serikali kwa kipindi cha miaka mitano (5), yaani kuanzia mwaka 2025 - 2030. Chini ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt: Samia Suluhu Hassan na Dkt: Huseni Ally Mwinyi raisi wa Zanzibar.
0 Comments