HAPA NI KIWANDANI, NA HIKI NI KITENGE BORA KINATOKA KWENYE MACHINE, NI KITENGE KINACHOREJESHA NA KUPANDISHA THAMANI YA MWANAMKE WA AFRIKA, KILICHOSHEHENI MICHORO MORORO NA PICHA YA KUVUTIA YA BINTI KIZIMKAZI, MALKIA WA MAZINGIRA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA. MHESHIMIWA; DAKTARI: SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KWA PAMOJA TUNASEMA "SHIKAMOO MAMA, JEMEDARI HODARI, MTU MCHAPAKAZI, OCTOBER YA MASHUJAA TUNATIKI NA WEWE.
KITENGE HIKI UTAKIPATA KWA SHILLING ELFU THELATHINI (30,000/=) KWA PISI TATU. Call/WhatsApp: +255 757 698 500

0 Comments