TAZAMA UBUNUFU WA ILANI PENDWA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM).

 Tazama video hii ya Ubunifu ya ILANI Pendwa ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Ilivyochambuliwa, kunyambuliwa na kuelezewa kwa njia rahisi, bunifu na yenye ubora kwa msomaji na mfuatiliaji wa maswala ya maendeleo na ujenzi wa Taifa. Ilani hii bora imetengenezwa kwa njia ya sauti na video ili iwafikie kwa wepesi wanachama wote wa CCM, Wadau wa Maendeleo na watanzania wote kwa ujumla

SISI NI TANZANIA TUTAKULINDA, HATUNA TAIFA LINGINE.

Post a Comment

0 Comments