KANUNI YA ULIMWENGU NI MOJA TU, AKILI KUBWA ZOTE NI MALI YA SERIKALI.

KANUNI YA ULIMWENGU NI MOJA TU, AKILI KUBWA ZOTE NI MALI YA SERIKALI. KIJANA KAA TAYARI, KUWA HODARI NA MWENYE MOYO WA UZALENDO NA USHUJAA. KUWA MWENYE WIVU WAKUDUMISHA AMANI YA NCHI ITAKAYOKULETEA MAENDELEO KWA KUTUMIA VIPAWA ULIVYONAVYO.


Post a Comment

0 Comments